Tag: soka
KWA HILI LA CHAMA NI WAZI MAMBO SIO MAMBO MSIMU HUU
Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama mkali wa pasi za mwisho Novemba 8 2023 anatimiza saa 792 za kuganda bila kushangilia pasi yake ya bao...
BALEKE ATAMBA KWENYE ANGA ZA WABABE HAWA WA YANGA
Mshambuliaji wa Simba SC, Jean Baleke amefunga goli lake la 7 katika msimu huu wa Ligi Kuu ya NBC katika mechi dhidi ya Namungo...
COASTAL UNION WAMTANGAZA MRITHI WA ZAHERA
Klabu ya Coastal Union inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara leo imemtangaza kocha wa zamani wa klabu ya sofapaka raia wa Kenya David Ouma...
UHONDO WA MPUNGA WA EUROPA UPO MERIDIAN BET
Baada ya kushuhudia mbilinge mbilinge za Ligi ya Mabingwa Ulaya, sasa uhondo unahamia Ligi ya Europa ambapo leo hii viwanja mbalimbali kutimua vumbi huku...
GAMONDI AFUNGUKA HALI WALIOPITIA KWA COASTAL UNION NI BALAA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel GamondiĀ ameweka wazi kuwa mechi dhidi ya Coastal Union ilikuwa ngumu tofauti na alivyokuwa akifikiria, lakini amefurahi kwa ushindi...
SINGIDA FG HALI SIO SHWARI LIGI KUU
Kocha Msaidizi wa Singida Fountain Gate, Thabo Senong amesemna Ligi Kuu Tanzania Bara bado ni ngumu na haitabiriki kwa sababu kila timu inakuja tofauti...
HUKO YANGA UNAAMBIWA UBABE UBABE TU
Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Timu ya Yanga imeendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC kwa kufikisha alama 24 baada...
USIKU WA ULAYA MKWANJA NJE NJE
Usiku wa ligi ya mabingwa ulaya umerejea na leo jumatano michezo mbalimbali itapigwa ambayo inaweza kukupa nafasi ya kupigwa mkwanja na Meridianbet kwani michezo...
AZIZ KI AFUNGUKA WALIPOWASHIKA SIMBA
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga ni wa moto kila idara lakini kwa mujibu wa takwimu mabomu ya timu hiyo kumaliza mechi yapo...
METACHA AREJEA KIKOSINI YANGA
Kipa namba mbili wa Yanga, Metacha Boniphace Mnata amerejea ndani ya kikosi hicho mara baada ya kukaa nje kwa takribani wiki tatu kufuatia tuhuma...