Tag: usajili
BAADA YA THANK YOU ZA KUTOSHA SIMBA, SASA NI ZAMU YA...
Mlinzi wa kulia, Shomari Kapombe amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia ndani ya kikosi cha Simba SC hadi mwaka 2025.
Tangu alivyorejea kwa...
YANGA MPYA INGETAKIWA IWE HIVI
YANGA ndio timu Bora Tanzania kwa sasa. Kama unapenda sawa. Kama hupendi, sawa pia. Hawakuchukua ubingwa wa ligi yetu kwa bahati mbaya. Hawakuchukuwa Kombe...
YANGA YASHUSHA BEKI HUYU KISIKI KUTOKA SC VILLA
Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa beki wa kati Gift Fred kutoka katika klabu ya SC Villa kwa mkataba wa miaka mitatu kuitumikia timu...
BAADA YA SAKATA LA FEI TOTO NA YANGA SASA NI ZAMU...
Beki wa Tanzania, Abdi Banda anayecheza Afrika Kusini, ameweka wazi kinachoendelea kati yake na klabu ya Chippa United, baada ya hivi karibuni kutumiwa barua...
BREAKING NEWS : SIMBA WAMTAMBULISHA MCHEZAJI WAKE HUYU MPYA MUDA HUU
KLABU ya imemtambulisha beki wa katÃ, Che Fondoh Malone Junior kuwa mchezaji wake mpya kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Coton Sport ya kwao,...
MSUVA AFUNGUKA MASHARTI YAKE HAYA KAMA SIMBA, YANGA ZINAMTAKA
WAKATI mastaa wenzake wa daraja lake wakila bata kwenye fukwe mbalimbali za starehe kipindi hiki cha mapumziko mambo ni tofauti kwa mshambuliaji wa kimataifa...
SINGIDA FOUNTAIN GATE YAIONYESHA SIMBA JEURI YA PESA, YAIFANYIA KITU MBEYA...
Ushawishi wa pesa umeendelea kuwa kivutio kikubwa sana kwa klab hiyo yenye maskani yake Mkoani Singida,
Beno kakolanya alikuwa tayari kuongeza Mkataba ndani ya kikosi...
BAADA YA YANGA KUFANYA JAMBO LAO SASA NI ZAMU YA GEITA...
Hatua hiyo inajiri baada ya Geita kuachana na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Fredy Felix 'Minziro' baada ya mkataba wake kuisha tangu Mei 28...
KOCHA WA SIMBA AFURAHI KUPATA SAINI YA ONANA, AFUNGUKA MPANGO WAKE
Wakati kocha wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho' akifurahia ujio wa mshambuliaji Leandre Onana kutoka Rayon Sports, nyota huyo anakutana na wakati mgumu katika kuingia...
KOCHA MPYA WA YANGA ATUA BONGO KIBABE, AJA NA MPANGO HUU
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga,Miguel Angel Gamondi amewasili Nchini Alfajiri ya leo tayari kwa maandalizi ya kambi ya kujiandaa na Msimu Mpya yatakayoanza...