Tag: yanga leo
HUKO CAF NI YANGA NABI SAHANI MOJA LIGI YA MABINGWA
Wakati Yanga ikifuzu kwa jeuri hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikitupa nje ASAS ya Djibouti kocha wao wa zamani Nasreddine Nabi...
JKT SIO KINYONGE MBELE YA YANGA JAPO USHINDANI NI MKALI
Kikosi cha JKT Tanzania kinaendelea na mazoezi kujiwinda na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga utakaopigwa keshokutwa, huku kocha mkuu wa timu hiyo,...
WAPINZANI WAIPIGIA SALUTI YANGA…WAFUNGUKA HAYA
Klabu ya ASAS ya nchini Djibouti imeukubali mziki wa Yanga Sc baada ya kupokea kichapo cha bao 5-1 katika mchezo wa hatua ya kwanza...
PACOME, AZIZI KI, WAFANYA BALAA KUBWA YANGA
Mashabiki wa Yanga wanaendelea kuchekelea baada ya kushuhudia timu hiyo ikianza Ligi Kuu kwa kishindo ikiifumua KMC mabao 5-0, lakini sifa zikienda eneo la...
MUDATHIR AFUNGUKA ISHU YA SIMU YA MKEWE UWANJANI
Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya amefunguka staili yake ya kushangilia aloitumia baada ya kufunga bao katika mechi ya ufunguzi kwenye Ligi Kuu dhidi ya...
GAMONDI ATAMBA KUICHAKAZA ASAS KESHO, HUKU AKIJITETEA HIVI
Kesho Agosti 20 katika Uwanja wa Azam Complex utachezwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika mchezo utakaowakutanisha mabingwa wa Ligi ya Djibouti ASAS...
BREAKING NEWS : KOCHA WA YANGA AFARIKI DUNIA
Kocha wa zamani wa Yanga,raia wa Uganda Sam Timbe amefariki dunia mchana wa leo baada ya kuugua ghafla na mauti yakamfika wakati anapelekwa hospitali.
Mpaka...
DOUMBIA KUMBE HAJAMALIZANA NA YANGA, ISHU IKO HIVI
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Yanga kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa ‘Thank You’.
Taarifa...
KUNA KITU…. MUHIMU POINTI TATU….MAXI AJA NA HESABU MPYA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
USAJILI WA MAXI NZEGELI YANGA, WAMUIBUA KOCHA WA AS VITA ISHU...
Kocha wa AS Vita ya DR Congo, Roul Shungu amesifu usajili mpya wa Kiungo Mshambuliaji mpya wa Young Africans, Maxi Zengeli akitamka kuwa timu...