Tag: YANGA
KUTOKANA NA HALI YA YANGA ILIVYO JOB AJA NA KAULI HII...
Beki wa kati wa Yanga SC, Dickson Job amewomba mashabiki na wapenzi wa klabu yao, kuwaombea dua kwani bado wanayo nafasi ya kufanya vizuri...
HIKI HAPA NDIO KINACHOENDA KUTOKEA KWA YANGA NA GAMONDI WAKE
SHUGHULI iliingia mvua katika dakika za mwisho mwisho za pambano la Yanga dhidi ya Al Ahly. Masheikh wakasimama na kuanza kula wima. Pale Percy...
SARE YA YANGA vs AL AHLY ILIVYOMNEEMESHA PACOME…..HII NDIO KUFA KUFAANA...
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua ameshinda bao bora la wiki katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika zilizochezwa mwisho wa wiki.
Kiungo mshambuliaji wa...
KWA KUNDI HILI LA YANGA KWELI MBOGA MOTO UGALI MOTO
Mechi mbili zijazo kwenye kundi (D) zitatoa mwanga utakaoonesha timu zipi zina nafasi kubwa ya kutinga robo fainali CAF champions league 23/24.
Yanga walianza ratiba...
SIO SIMBA, YANGA MAMBO NI MAGUMU STORI KAMILI IKO HIVI
Gazeti la Mwananchi jana Jumapili limeripoti katika ukurasa wake wa michezo wa nyuma kwamba “Simba, Yanga mambo magumu Afrika”, likizungumzia matokeo ya mechi mbili...
JINSI PACOME ALIVYOINUSURU YANGA KWENYE HATARI YA WARABU
Yanga imeondoka na pointi moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Ahly kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...
YANGA SIMBA HAKUNA KUZUBAA KIMATAIFA
Simba na Yanga zinapaswa kupambana hadi tone la mwisho la damu leo katika mechi zao za raundi ya pili ya hatua ya makundi ya...
UNAAMBIWA YANGA WAMESHASAHAU MATOKEO YA ALGERIA
Nahodha wa Yanga, Bakar Mwamnyeto amesema wamesahau matokeo ya Algeria na leo ni kazi moja tu kuhakikisha timu hiyo inapata ushindi.
“Sisi kama wachezaji tumejipanga...
SIMBA YANGA VICHEKO TU
Saa kumi juu ya alama Simba itakuwa kwenye kwenye Uwanja wa Obed Itani Chilume, Botswana kuikabili Jwaneng Galaxy mechi ya Kundi B. Awali ilikuwa...
HII HAPA NDIO NAFASI YA SIMBA,YANGA CAFCL
Klabu za Tanzania leo zitaendelea kusaka nafasi ya kukaa sehemu nzuri kwenye makundi yao kwa kucheza mechi za pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Simba...