Tag: YANGA
SIMBA WAINGIA MAKUBALIANO HAYA NA TP MAZEMBE
Mmiliki wa Klabu ya TP Mazembe, Moise Katumbi amesema tumeingia makubaliano na Klabu ya Simba ili kushirikiana katika mambo mbalimbali yanayohusu mpira.
Katumbi amesema makubaliano...
GAMONDI : HAO CR BELOUIZDAD DAWA YAO TAYARI IMECHEMKA WAJE TU
Wakati uongozi wa Yanga ukianza kuandaa mikakati ya namna ya kuvuna alama zote tisa kwenye mechi zake za nyumbani za hatua ya makundi za...
UNAMBIWA HUYO MUSONDA HUKO YANGA NI KUWA KAZINI KWAKE KUNA KAZI
Straika wa Yanga, Kennedy Musonda katika dakika 411 alizocheza kwenye mechi saba, kafunga mabao mawili dhidi ya JKT Tanzania na Simba akifunikwa na mawinga...
MKUNDA AIKOSOA YANGA…. ADAI KUWA JAMBO HILI NI USHAMBA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Ahmad Mkunda amesema kuwa kitendo cha Klabu ya Yanga kuweka bango barabarani kuwazodoa wapinzani wao Simba Sc ni...
BANGO LA YANGA LAIPELEKA SIMBA MAHAKAMANI
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba na mjumbe wa kamati ya ushauri Ismail Aden Rage amesema kuwa viongozi wa timu hiyo wanapaswa kuwashitaki wapinzani wao,...
BANGO LA YANGA LAZUA MJADALA ACHAMBUZI ASEMA HAYA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Kipenga Extra ya East Africa Radio, Martin Mwakiposa amesema kuwa kitendo cha Klabu ya Yanga kuweka bango...
KWENYE HILI SIMBA WAKIAMUA YANGA HAWACHOMOKI
Wakti kukiwa na sintofahamu juu ya Nembo ya Simba kutumika katika bango lililowekwa na Yanga kusherehesha ushindi wao wa bao 5-1 walioupata dhidi ya...
BALEKE HUYOOO JANGWANI, ISHU KAMILI IKO HIVI YANGA WANABALAA
Wakati huu ambao Yanga wanaonekana kukosa mshambuliaji sahihi wa kumrithi Straika wao alietimkia Misri Fiston Mayele.
Mchambuzi wa michezo kutoka TV3, Alex Ngereza anatuarifu kuwa...
UONGOZI WA YANGA WATAMBA, YANGA KUFIKA MBALI KULIKO KLABU YEYOTE BONGO
Kwa muda mrefu mashindano ya Afrika yamekuwa yakitawaliwa na timu za Kaskazini mwa Afrika.
Yanga kukutana na timu mbili kwenye hatua ya makundi kutoka...
KUMBE ULIMWENGU ALIZICHOMOLEA SIMBA, YANGA ISHU IKO HIVI
Mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Thomas Ulimwengu, kupitia kwenye interview na television ya Mtandaoni ya Singida Fountain Gate, amewefunguka kuhusu sababu ya kujiunga na...