YANGA IMEUPIGA MWINGI…IMEMSAJILI FUNDI MALI….WAMALIZANA NAYE HOSPITALI
Klabu ya Yanga inaripotiwa kuwa imeshafunga hesabu za kumsajili fundi wa Singida Big Stars, Bruno Gomez kama mambo yataenda kama yalivyopangwa, ataonekana katika jezi za…
Klabu ya Yanga inaripotiwa kuwa imeshafunga hesabu za kumsajili fundi wa Singida Big Stars, Bruno Gomez kama mambo yataenda kama yalivyopangwa, ataonekana katika jezi za…
Wakati mjadala ukizidi kupamba moto kutokana na kujumuishwa katika kikosi cha Timu ya Taifa Kiungo wa Yanga, Feisal Salum “Fei Toto” wakati amekaa nje pasipo…
Kocha wa Yanga, Profesa Nasreddine Nabi amesema Hawaogopi Monastir, japo waliwafunga kwao na wao wana uwezo wa kuwafunga hapa na wanaendelea kufanyia kazi Mipango kuhakikisha…
Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji ametoa tiketi 1000 za kushuhudia mchezo dhidi ya US Monastir katika mchezo utakaochezwa jumapili ya wiki hii,…
Pointi 8 ambazo wamewaacha watani zao wa jadi Simba, zimeipa kiburi Yanga ya kufanya vizuri kwenye mechi zijazo za Ligi Kuu Bara na kutetea taji…
Kiwango bora kinachoendelea kuoneshwa na Yanga katika mashindano mbalimbali msimu huu, kimemuibua Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ambaye ameweka wazi kuwa, wana matumaini makubwa…
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans(YANGA) Fiston Kalala Mayele, amesema kwa namna pekee itakayomfanya afanikishe malengo ya kutwaa Tuzo ya Ufungaji Bora…
Ali kamwe :”tunaenda kwenye matawi yetu makubwa kabisa ya Yanga pale kwa Mtogole kuna tawi kubwa, Kariakoo hapa kuna tawi kubwa. Tutawaambia viongozi wa matawi…
Kapombe na Zimbwe JR watemwa, Yanga imetoa wachezaji 7 dhidi ya 3 kutoka Simba Mtazamo: kwanini kapombe na zimbwe hawajaitwa? 1: Kapombe ni beki…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga SC amesema kuwa kuna nguvu kubwa kwa wachezaji kupata matokeo mapema jambo linaoongeza nguvu ya kujiamini na kucheza kwa…