Tag: yangasc
USAJILI YANGA: YAMFUATA MSHAMBULIAJI RASTA…NABI ASISITIZA
Wakati mabosi wa timu ya Ihefu FC, wakiendelea kujiridhisha na
uwezo wa straika wao mwenye rasta raia wa Burkina Faso, Yacouba Sogne, mabosi wake wa...
KOCHA YANGA AMPIGA CHINI MCHEZAJI MMOJA…KIKOSI CHA KWANZA
Upo uwezekano mkubwa wa Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi kumuondoa beki mmoja wa kati katika kikosi chake cha kwanza na kumuingiza Ibrahim...
YANGA YATOA SIRI NZITO USAJILI WA MUSONDA…ULE NI USAJILI WA KIMKAKATI
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa usajili wa nyota wa Zambia, Kennedy Musonda ni wa kimkakati kutokana na jicho lake kwenye kufunga.
Musonda ameibuka ndani...
FEISAL SALUM “FEI TOTO” KUREJEA YANGA…MARA BAADA YA KUMALIZA MAJUKUMU YA...
Kama ulikuwa hujui basi nikujuze kuwa suala la kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' na klabu yake ya Yanga halijakwisha na litaisha pale tu mchezaji...
KOCHA US MONASTIR:- “TUMEFUZU… HATUTOTUMIA NGUVU NYINGI…TUKICHEZA NA YANGA
Kocha Mkuu wa US Monastir, Darko Novic ametoa kauli ya kinyonge kuwa hawatatumia nguvu nyingi watakapovaana na Mabingwa wa Soka Tanzania Young Africans.
Miamba hiyo...
SIMBA NA YANGA WAOGELEA BAHARI YA MINOTI…MAMA AWALAMBISHA BUYU LA ASALI…WACHEZAJI...
Uongozi wa klabu ya Yanga, umesema fedha zinazotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan zimeongeza moli kubwa kwa wachezaji...
HAWA MADOGO BALAA…UNAMJUA RASHFORD WA AZAM?…HUYU HAPA KINDA HATARI WA YANGA
Hawa ndio makinda wanaotabiriwa kufanya makubwa mbeleni
1. CYPRIAN KACHWELE
Amezaliwa November 2007 ana miaka 15 ni mshambuliaji aliyekulia kwenye academy ya Azam na anayefanya vizuri...
NABI AWACHANA WACHEZAJI…HAKUNA KUKWEPESHA JICHO…”SIPENDI MAKOSA YAJIRUDIE
Hakuna kukwepesha jicho. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Yanga wakijiandaa kuwavaa US Monastir siku ya Jumapili mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika.
Yanga...
MUSONDA:- NITAIBEBA YANGA MABEGANI…TP MAZEMBE NILIWAONYESHA…”MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA
Mshambuliaji wa Yanga, Kennedy Musonda ameapa kuhakikisha anafunga mabao muhimu yatakayoisaidia timu yake kufanya vizuri dhidi ya US Monastir.
Musonda ambaye ni ingizo jipya kwa...
YANGA IMEFUNGIWA USAJILI?…KWA KUFULI GANI!…WANATUFANYIA FIGISU FIGISU
Wakati Taarifa zikiibuka mchana wa leo kuwa Klabu ya Yanga
imefungiwa kufanya usajili kwa misimu mitatu kutokana na kutomlipa aliyekuwa Kocha wake Luc Eymel stahiki...