Tag: yangasc
BARUA HII YA FEI TOTO YAZUA MAZITO MAPYA…”UONGOZI WA YANGA ULINITESA...
Sakata la kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Feisal Salum 'Fei Toto' dhidi ya Yanga limeingia sura nyingine baada ya upande wa mchezaji huyo kuwasilisha...
KOCHA UGANDA “YANGA WATAWAPIGA RIVERS…AMEZUNGUMZA HAYA
Yanga inajiandaa kumalizana na Simba kwenye Kariakoo Derby,
kisha kusafiri kwenda Nigeria kuvaana na Rivers United katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho...
ZA NDANII KABISA…MECHI SIMBA NA YANGA…MAREFA HAWA WOTE WANAWAKE
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya mchezo wa dabi kuonekana safu nzima ya waamuzi kuwa jinsi ya kike kuhakikisha dakika 90 zinamalizika...
SIKU ZA JOB ZAHESABIKA YANGA…AGOMA KUSAINI MKATABA MPYA…UTATA MZITO WAIBUKA
UGUMU wa beki wa kati wa Yanga, Dickson Job kushindwa kusaini mkataba mpya hadi sasa ni ishu ya mshahara anaoutaka na siyo dau la...
MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA…IDADI KAMILI YA MAGOLI ALIYOFUNGA TANGU...
Msemaji wa Klabu ya Wananchi, Mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans Sports, Ali Kamwe amesema kuwa Mshambuliaji hatari wa timu...
MECHI YA SIMBA NA YANGA SIO VITA…MSIHATARISHE MAISHA YA WATU…MPIRA NI...
Wikiendi hii shughuli zote za michezo zitasimama kupisha dakika tisini za machozi, jasho na damu ambapo wababe wa soka la Tanzania Simba na Yanga...
MAYELE MCHEZAJI BORA LIGI KUU…HANA MAJIVUNO…MHOLANZI AMEFUNGUKA HAYA
Kocha Mkuu wa Singida Big Stars Hans Van Der Pluijm amesema licha ya kubaki michezo minne ili msimu kuisha, lakini kwake binafsi hadi sasa...
KUELEKEA MECHI YA SIMBA NA YANGA…WACHEZAJI WAPORWA SIMU…MANARA AMETHIBITISHA
Kutoka kwa Haji Manara amefunguka haya; "Kipindi cha Wachezaji wao kunyang'anywa Simu zao ndio hiki kimefika, Watafanya Vikao Hadi kumi kwa siku, utadhani wapo...
KOCHA RIVERS ATOA KAULI HII YA KEJELI DHIDI YA YANGA…”HAWANA...
Kocha Mkuu wa Rivers United, Stanley Eguma, ameibuka na kutoa kauli ya kejeli kwa wapinzani wake Yanga inayonolewa na
Nasreddine Nabi akisema anachokifikiria kwa sasa...
UTATA MPYA WAIBUKA MKATABA WA JOB…AGOMA KULIPWA MIL6 NA YANGA
Pamoja na Yanga kuonyesha jitihada za kumwongezea mshahara beki wake Dick Job kutoka Sh milioni 4 hadi 6 milioni, nyota huyo ameweka ngumu na...