YANGA YAWACHOMOA NYOTA WATATU KUTOKA SIMBA, WAINGIA JUMLAJUMLA KIKOSI CHA KWANZA NAMNA HII
HARUNA Niyonzima kiungo mshambuliaji ndani ya Yanga iwapo angepewa nafasi ya kupanga kikosi cha kwanza angewachomoa nyota watatu kutoka Simba na kwenda nao sawa.Hivi...
JEMBE JIPYA SIMBA KUTUA KESHO, NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili
HUYU HAPA AMESHIKILIA PANGA LA KUWAPIGA CHINI WACHEZAJI SIMBA NA KULETA MASHINE MPYA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa mpango mkubwa uliopo kwa timu ni kufanya vema kwenye mashindano watakayoshiriki huku suala la usajili pamoja na...
MBELGIJI WA YANGA KUTUMIWA TIKETI YA NDEGE
UONGOZI wa Yanga umepanga kuwarejesha makocha wake, Mbelgiji, Luc Eymael na msaidizi wake raia wa Afrika Kusini, Riedoh Berdien waliopo nje ya nchi baada...
YANGA YARUDI KIBABE, SIMBA ILIVYOKATA KIU YA MASHABIKI, KESHO NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI
KESHO ndani ya SPOTIXTRA Jumapili usipange kukosa nakala yako
TUJIKUMBUSHE MAKOCHA WALIOSEPA NA TUZO NDANI YA LIGI KUU BARA
HAWA hapa makocha ambao kabatini wana tuzo walizotwaa ndani ya Ligi Kuu Bara kabla ya Janga la Corona kuvurugavuruga dunia linavyotaka:-Salum Mayanga wa Ruvu...
YANGA:TULIUKUMBUKA MPIRA, TUTAPAMBANA
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa yupo tayari kwa ajili ya kupambana ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo ilisimama kutokana na janga la...
SIMBA: HAKUNA UADUI DHIDI YA YANGA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hakuna uadui kati yao na Yanga bali ni ushindani tu ndani ya uwanja.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa...
YANGA YATOA TAMKO KUHUSU KUREJEA KWA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umepokea kwa mikono miwili suala la Ligi Kuu Bara kurejea jambo ambalo wanaamini watapata bingwa kihalali.Ligi Kuu Tanzania Bara...
TIMO WERNER AZICHANGANYA LIVERPOOL NA CHELSEA
MTUPIAJI ndani ya RB Leipzig, Timo Werner yupo kwenye hesabu za Chelsea pamoja na Liverpool.Vigogo hao wa England wanapambana kupata saini ya nyota huyo...