MAGUIRE, POGBA KUIVAA CHELSEA JUMAPILI

0
MANCHESTER United imethibitisha kuwa nyota wao mpya Harry Maguire na kiungo wao fundi, Paul Pogba wataanza kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu England...

MABINGWA SIMBA WAANZA KUWATISHA UD do SONGO, KUPIGA MAZOEZI YA MWISHO LEO

0
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kwa sasa wameshatia timu nchini Msumbuji kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa...

WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA WANYAKA MAFAILI YANGA WANA KAZI YA ZIADA KESHO

0
WAPINZANI wa Yanga kimataifa timu ya Township Rollers wameanza kuwasomea ramani wapinzani wao Yanga kabla ya kesho kwa kuiba mbinu zao kabla ya kukutana...

MAANDALIZI NDANI YA SINGIDA UNITED YAMEPAMBA MOTO

0
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kwa sasa unaendelea na maandalizi ya nguvu kuelekea msimu ujao.Singida United imejichimbia Singida kwa sasa kwa maandalizi ya...

LIPULI YAPANIA KUFANYA MAAJABU MSIMU UJAO

0
UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa msimu ujao umejipanga kufanya maajabu kwa kupata matokeo chanya.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Lipuli  Clement Sanga amesema...

SIMBA YAWAZUIA MASHABIKI KUIZOMEA YANGA, HAYA NDIO MAAMUZI YA UONGOZI KIMATAIFA

0
KUELEKEA kwenye michezo ya kiamataifa ambayo inatarajia kuanza kesho kwa timu nne za Tanzania kupeperusha Bendera ya Kimataifa, Uongozi wa Simba umewazuia mashabiki wa...

WAPINZANI WA LIVERPOOL LEO WAGOMA KUPAKI BASI

0
DANIEL Farke, bosi wa Norwich City leo amesema kuwa ana kazi ngumu leo mbele ya Liverpool kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu England...

HAWA HAPA NANE WAMEBAKI BONGO WAKATI SIMBA IKIKWEA PIPA KUWAFUATA WAPINZANI WAO KIMATAIFA

0
HAWA hapa nyota nane wa Simba wamebaki Bongo wakati kikosi kikwea pipa leo kuelekea Msumbiji:-Said NdemlaYusuf MlipiliKennedy JumaAishi ManulaWilker da Silver.Ibrahim AjibHaruna ShamteMiraj Athuman

NINJA WA YANGA SASA AWA WA KIMATAIFA, USO KWA USO NA IBRAHIMOVIC

0
ABDALAH Shaibu 'Ninja' amejiunga na klabu ya LA Galaxy inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani Kwa kandarasi ya miaka mitatu.Nyota huyo amejiunga na klabu hiyo...

JESHI LA SIMBA LILILOKWEA PIPA KUELEKEA MSUMBIJI LEO HILI HAPA

0
KIKOSI cha Simba kilichokwea pipa leo kuwafuata wapinzani wao UD do Songo nchini Msumbiji leo mchezo utakaochezwa kesho Msumbiji hiki hapa:-Beno KakolanyaGadiel MichaelShomari KapombeErasto...