BEKI MPYA YANGA ATUMA UJUMBE MZITO KWA WAPINZANI

0
BEKI mpya wa Yanga ambaye kwa sasa yupo na timu ya Taifa nchini Misri, Ally Mtoni 'Sonso' amesema kuwa ana imani ya kufanya makubwa...

VIGOGO 10 WATEULIWA NDANI YA YANGA KAMATI YA FEDHA

0
MWENYEKITI wa Yanga, Dr. Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji amewateua wajumbe 10 kuunda Kamati mpya ya Fedha na Mipango.Orodha ya walioteuliwa...

WAWA APIGWA PINI SIMBA

0
PATRICK Wawa, beki kisiki wa Simba ameongeza kandarasi ya mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu yake.Wawa alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotwaa kombe la Ligi Kuu...

STARS KUFANYA MAAJABU LEO AFCON

0
MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' Simon Msuva amesema kuwa leo watapambana kufanya vema kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya Algeria.Stars...

SIMBA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA A-ONE, YAVUNA MAMILIONI

0
KLABU ya Simba,imeingia mkataba na Kampuni ya A-one kwa ajili ya kutangaza bidhaa yao mpya ya Mo xtra Energy wenye thamani ya Tsh.Milioni 250.Mkataba...

SONSO AJA NA MKWARA YANGA

0
BEKI mpya wa Yanga, Ally Mtoni Sonso amesema kuwa alikuwa na ndoto kubwa sana ya kucheza na Yondani na baada ya kusajiliwa na Yanga...

WENGINE SIMBA KUTIMKIA AFRIKA KUSINI

0
WAKATI usajili ukizidi kushika kasi inatajwa nyota wawili wa kikosi hicho wanatarajia kujiunga na Klabu ya Black Leopards ya Afrika Kusini.Nyota hao wawili mmoja...

KWA YANGA HII MJIPANGE!

0
AMA kweli Yanga sasa wameamua, kuelekea msimu ujao maandalizi yameanza mapema na lengo ni kuhakikisha wanakuwa na kikosi bora katika michuano yote msimu ujao...

ZAHERA ATANGAZA KIKOSI KIZIMA KIPYA YANGA

0
MTAANI kwa sasa mashabiki wa Yanga ndiyo wanatamba kwa nguvu kutokana na uboreshaji wa kikosi cha msimu ujao uliofanywa na viongozi wa timu hiyo.Yanga...

HAWA HAPA NYOTA 15 KIMEELEWEKA NDANI YA SIMBA

0
BADO vuguvugu la kuongeza majembe mapya na kuongeza mkataba wa wachezaji kwenye Ligi Kuu Bara unazidi kushika kasi.Mabingwa watetezi Simba kama ilivyo ada nao...