PICHA YA TAWI LA SIMBA LA BANDARI KAVU-KWALA ILIYOZUA GUMZO HII HAPA
KUELEKEA SportPesa Simba wiki inayotarajiwa kufanyika Agosti 6 uwanja wa Taifa mambo yamezidi kupamba moto ambapo hamasa imekuwa ni ya juu huku matawi mengi...
YANGA: KWA MOTO WA SIBOMANA, BALINYA LAZIMA KARIOBANG SHARK WAKAE
DEO Muta, Katibu wa Kamati ya Hamasa ndani ya Yanga amesema kuwa hakuna namna itakayowazuia wapinzani wao Kariobang Sharks Kupata ushindi mbele ya Yanga.Muta...
MABINGWA SIMBA WAANZA NA MKWARA HUU
BAADA ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba kurejea kutoka Afrika Kusini, Kocha Mkuu Patrick Aussems amesema kuwa kazi ndo kwanza inaanza.Simba ilikweka...
MWENDO WA YANGA KUKUSANYA KIJIJI NOMA, CHEKI VIKOSI VIWILI VILIVYOKUSANYWA,
VIKOSI vitakavyocheza mchezo wa kirafiki siku ya kilele cha Mwanachi uwanja wa Taifa, Agosti 4
NYOTA HUYU TAIFA STARS HATIHATI KUIKOSA KENYA
JUMA Mgunda, Kaimu Kocha Msaidizi wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Ibrahim Ajib...
POLISI TANZANIA YAIPIGA MKWARA MZITO AZAM FC LEO
FRANK Lukwaro, Ofisa Habari wa Polisi Tanzania amesema kuwa kikosi kipo tayari kuwavaa Azam FC leo.Polisi Tanzania iliyo chini ya Seleman Matola leo itamenyana...
MUONEKANO WA UZI MPYA WA SIMBA MSIMU WA 2019/20
Jezi za msimu mpya wa 2019/2020 kwa klabu ya Simba. Uzi...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
HUU HAPA UZI WA POLISI TANZANIA MSIMU UJAO
KAZI imeanza, timu ya Polisi Tanzania imetambulisha uzi mpya ambao utatumika msimu ujao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha, Seleman...
KOCHA: STARS ILIISHIWA MBINU MWANZO, WANA KAZI YA KUFANYA NCHINI KENYA
SAID Maulid, Kocha wa timu ya Vijana chini ya miaka 20 wa Yanga, amesema kuwa tatizo kubwa la wachezaji wa timu ya Taifa wanashindwa...