MASHINE ZINGINE AFCON KUMALIZANA NA YANGA, BOSI ASAFIRI
TARAJIA kuiona Yanga bab kubwa kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, ni baada ya jana jioni bosi mpya wa usajili kupanda ndege na...
KMC WAINGIA ANGA ZA YANGA, ZAMPIGA PINI MIAKA MIWILI AIYEE
NYOTA wa Mwadui FC, Salim Aiyee amejiunga na kikosi cha KMC kwa kandarasi ya miaka miwili.Aiyee amefanya vema msimu wa mwaka 2018/19 ambapo amefunga...
DUH SASA BALAA KUTUA MSIMBAZI, NYOTA WANNE KIKOSI CHA KWANZA KUTIMKA MAZIMA
IMEELEZWA kuwa baada ya kiungo bora ndani ya Simba,James Kotei kutimkia ndani ya kikosi cha Kaizer Chief kwa kandarasi ya miaka mitatu sasa nyota...
MESSI ANA OFA TANO MKONONI KWA SASA
Ramadhani Singano ‘Messi’ kwa sasa ana ofa kutoka timu tano tofauti ambazo zinaitaka saini yake ili aweze kuzitumikia kwa sasa.Messi ni mchezaji huru baada...
STARS YAENDELEA KUKALIA MKIA KUNDI C AFCON, YACHAPWA 3-2 NA KENYA
Kikosi cha Taifa Stars kimpoteza tena mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika awamu hii dhidi ya Kenya kwa kuchapwa mabao 3-2.Kipigo hiki kimekuwa...
Simon Msuva aingia katika rekodi kuu baada ya miaka 39
Simon Msuva, Sai kama wanavyomuita uwanjani ameingia katika rekodi muhimu katika mchezo unaoendelea muda huu. Tarehe 27/06/2019 saa 5:06 (Dakika sita ya...
ZANA KUSAINI MIAKA MIWILI SIMBA
Imeelezwa kuwa beki wa klabu ya Simba, Zana Coulibaly yupo katika mazungumzo ya mwisho ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu ya Simba.Taarifa...
VIDEO: KAKOLANYA AFUNGUKA SABABU ZA KUSAINI SIMBA, KUHUSU TAIFA STARS …….
Aliyekuwa Golikipa wa Yanga na ambaye kwa sasa amesaini katika klabu ya Simba Beno Kakolanya amefunguka usajili wake Simba SC na kilichofanya amesaini katika...
MCHEZAJI MWINGINE AONDOKA SIMBA
Kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amewaaga mashabiki wa klabu ya Simba kwa muda wote waliokuwa nae akiwa na timu hiyo na sasa anaelekea klabu nyingine.Taarifa...