YANGA HII NI JEURI, MILIONI 930 KUSAJILI JEMBE
YANGA kwa sasa wana jeuri ya kumsajili mchezaji yeyote wamtakaye kutokana na kuwa na kitita cha Sh milioni 930 ambazo wamezipata katika harambee yao...
TBL YAZINDUA KAMPENI YA FRIJI YA USHINDI
KAMPUNI ya Bia Nchini kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Primium Lager imezindu Kampeni ya Friji ya Ushindi kwa wadau wote wa soka ili kuhamasisha...
TAIFA STARS: KESHO LAZIMA KIELEWEKE MBELE YA KENYA
BEKI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Gadiel Michael amesema kuwa kwa sasa wana nafasi ya kupata matokeo chanya mbele ya Kenya mchezo wa...
BREAKING: KOTEI ASEPA SIMBA MAZIMA, APIGWA PINI MIAKA MITATU
TIMU ya Kaizer Chiefs imemsajili James Agyekum Kotei kwa mkataba wa miaka mitatu.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25, amejiunga na Kaizer akitokea Simba...
MAYANJA ATAJA SABABU ZA KUTUA KMC, ATAJA ATAKAOWASAJILI
KOCHA mpya wa KMC, Jackson Mayanja amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya akubali kusaini klabu ya Halmashauri ya Kinondoni, KMC ni mfumo wa klabu hiyo...
Yanga, Kaseke wanazungumza kuhusu dili jipya
YANGA SC bado wanahitaji huduma ya kiungo wa pembeni, Deus Kaseke ambaye mkataba wake unataraji kumalizika rasmi mwishoni mwa mwezi huu. Kaseke...
HAWA HAPA NYOTA WANNE WA YANGA KUJUA KAMA PANGA LITAWAHUSU WIKI HII
UONGOZI wa Yanga umesema wiki hii utaweka hadharani majina ya wachezaji watakaoachwa ili kuwapa muda wa kujipanga.Mpaka sasa bado kuna wachezaji ambao hawajua hatma...
MRITHI WA NDAYIRAGIJE NDANI YA KMC HUYU HAPA
IMEELEZWA kuwa kocha mpya wa KMC atakayerithi mikoba ya kocha Etiene Ndayiragije ambaye ametimkia Azam FC ni Jackson Mayanja.KMC kwa sasa wanatafuta Kocha Mkuu...
BAADA YA SIKU 23, OKWI KUKINUKISHA SIMBA
HUKO ulipo weka kumbukumbu kabisa kwamba itakapofika Julai 19, straika wa Simba, Emmanuel Okwi ndiyo itakuwa siku ambayo ataanika juu ya mustakabali wake ndani...