WACHEZAJI YANGA WAPIGWA STOP
Kocha Msaidizi wa Yanga, Noel Mwandila amewazuia wachezaji wake kuzungumza chochote na waandishi wa habari.Mwandila amewazuia wachezaji wake na badala yake amewataka waelekeze nguvu...
SIMBA HAWAPOI, WABAINISHA MALENGO YA TIMU MSIMU UJAO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa malengo makubwa kwa msimu ujao ni kuleta ushindani mkubwa utakaoifanya klabu kuwa ndani ya timu tano kubwa barani Afrika.Simba...
KESI YA MALINZI NGOMA BADO MBICHI, UAMUZI WA KESI SASA JULAI 23
HATIMAYE kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi na wenzake upande wa Serikali umefunga ushahidi rasmi na mahakama inatarajiwa kutoa...
KAGAME YAWAPA SOMO KUBWA KMC KIMATAIFA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa ushiriki wao michuano ya Kagame umewapa fursa ya kujifunza mambo mengi hasa kuelekea kwenye michuano ya kimataifa ambayo itashiriki.KMC...
AJIBU AWATETEMESHA KAHATA NA CHAMA SIMBA
KUTUA kwa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu Simba kutawapa ugumu wa namba viungo wenzake Mkenya, Francis Kahata na Mzambia, Clatous Chama kwenye...
AJIBU AKUTANA NA PACHA ZAKE SIMBA, BONGE LA SELFIE LAPIGWA
Wachezaji Mohammed Hussein, Said Ndemla na Ibrahim Ajibu wamekutana katika picha ya pamoja leo.Utatu huo umekutana tena baada ya misimu miwili iliyopita Ajibu kuwa...
KAMA UNADHANI MO ANAONDOKA SIMBA HILI NDIYO TAMKO LAKE
Ujumbe aliouandika Mwekezaji wa Simba Mohammed Dewji 'Mo' ikiwa ni baada ya sekeseke lililojitokeza hivi karibuni juu ya yeye kuelezwa kuwa ataachana na Simba.“Hate...
VITA YA NAMBA YANGA USIPIME
KUMEKUCHA Yanga! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya nahodha msaidizi wa timu hiyo, Juma Abdul kudai kuwa vita ya namba msimu ujao itakuwa ni...
LIONEL MESSI ANABALAA KWENYE SUALA LA POCHI NENE, CR 7 HAONI NDANI
LIONEL Messi staa wa timu ya Taifa ya Argentina anayekipiga kwenye klabu ya Barcelona ni miongoni mwa nyota wanaoingiza mkwanja mrefu kutokana na kipaji...
ORIGI MCHAWI WA MABAO YA USIKU NDANI YA LIVERPOOL FURAHA KAMA YOTE
DIVOCK Origi ambaye tangu ajiunge na Liverpool inayotumia uwanja wa Anfield tangu mwaka 2014 akitokea kikosi cha Lille amekuwa ni mtu mwenye furaha muda wote...