GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO, YANGA YATIKISA BALAA!!

0
Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatano

EXCLUSIVE: YANGA YAMALIZANA NA KIFAA KIPYAA!!

0
Klabu ya Yanga imemalizana rasmi na Mlinda Mlango aliyekuwa anaichezea Mbao FC, Metacha Mnata.Usajili huo umekuja baada ya makubaliano ya pande zote mbili kati...

MECHI TANO ZA MWANZO KWA YANGA KUNAKO LIGI KUU BARA, WAMO COASTAL UNION

0
Mechi tano za mwanzo kwa Yanga pamoja na Simba hizi hapa

HAI YAZIDI KUWA MBAYA MAN UNITED

0
Wakala wa Kiungo wa Manchester United Paul Pogba anaamini "kutafikiwa suluhisho la kuridhisha hivi karibuni kwa pande zote" katika kuamua mustakabali wa mchezaji huyo.Ijumaa...

SABABU YA AZAM FC KUPOTEZA LEO MBELE YA KCCA HII HAPA

0
KOCHA msaidizi wa timu ya Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa wamepoteza mchezo wa leo kutokana na mchanganyiko wa wachezaji wapya na wazamani.Akizungumza na...

MAKATA ALIYEZIPANDISHA ALLIANCE FC NA POLISI TANZANIA APEWA TIMU YA DODOMA

0
MBWANA Makata ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Dodoma FC inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza.Godwin Kunambi ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma...

TANZANIA YAWALILIA WAANDISHI WATANO WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI KWA AJALI

0
OFISA Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando amesema kuwa ni ngumu kuamini juu ya safari ya wafanyakazi wenzake ambao wamefariki kwa ajali ila...