YANGA YAJIONDOA KAGAME
Klabu ya yanga imejiondoa rasmi kwenye michuano ya Kagame CUP ambayo inatarajiwa kuanza hivi karibuni huko Rwanda.
MFAHAMU VIZURI MAYBIN KALENGO, MTAMBO MPYA WA MABAO YANGA – VIDEO
Mfahamu vizuri mchezaji Maybin Kalengo aliyetajwa kumalizana na Yanga hapa.
BWALYA AITAMANI VIBAYA SIMBA – VIDEO
Taarifa zilizopo zinasema kuwa mchezaji Walter Bwalya kutoka Nkana Red Devils ya Zambia ameipa nafasi ya kwanza Simba kumalizana endapo watafikia makubaliano ya dau...
MAJEMBE KUMI MAPYA YALIYOTAJWA KUTUA SIMBA HAYA HAPA, NI MAJIBU YA MAPIGO KWA YANGA
Kuelekea Msimu Ujao Wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Klabu Ya Simba Imepania Kufanya Usajili Hatari Kushinda Msimu Uliopita. Hawa Ni Wachezaji 10 Wapya Wanaoelezwa...
KOCHA WA KINDOKI AMPA ONYO AISHI MANULA KISA TAIFA STARS ‘AWE MAKINI’
Kipa wa zamani wa Yanga, Juma Pondamali, amemshauri kipa wa Taifa Stars, Aishi Manula kuongeza jitihada langoni.Pondamali amezungumza hayo ikiwa ni siku mbili zimepita...
MASHABIKI YANGA MBEYA WAONESHA JEURI KUBWA YA PESA – VIDEO
Wasikilize mashabiki wa Yanga mkoani Mbeya wakielezea nia yao ya kuchangia kiasi cha shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia usajili ndani ya klabu...
MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA NJOMBE
Jeshi la Polisi mkoani Njombe kwa kushirikiana na wananchi limefanikiwa kuwaua majambazi wawili huku mmoja akifanikiwa kutoroka kwa kutumia gari ndogo aina ya Special.Akizungumza...
HILI NDIYO KOSA LA UWOYA
Mwanadashosti Mwenye mvuto wake kuna Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya, kwa mara ya kwanza amefunguka kosa kubwa alilolifanya kwenye maisha yake.Uwoya aliliambia gazeti alipendalo...
BREAKING NEWS!! KAGERA SUGAR YASALIA LIGI KUU, MWADUI NAYO YACHEKELA DHIDI YA GEITA
Na George MgangaMabao ya Ally Ramadhan mnamo dakika ya 51 kipindi cha pili na Japhet Makalai katika dakika ya 79 yameiwezesha Kagera Sugar kusalia...