IKIWA mabosi wa Yanga bado wapo kwenye hesabu za kupata saini ya nyota wa Simba, Clatous Chama inabidi wajipange kuvunja benki kuipata saini ya nyota huyo.Awali ilikuwa inaelezwa kuwa mwamba huyo mwenye tuzo ya mchezaji bora ndani ya Ligi...
 OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam, Abdulkarim Amin ‘Popat’ amesema kuwa wanahitaji kuongeza wachezaji ndani ya kikosi hicho huku akigusia suala la kiungo Perfect Chikwende ambaye amekuwa akitajwa kuibukia ndani ya kikosi hicho. Perfect jina lake limekuwa likitajwa kuingia...
 HUYU hapa Omita Bertha nyota anayekipiga ndani ya kikosi cha Simba Queens inayoshiriki Ligi ya Wanawake Tanzania wakiwa mabingwa watetezi wa taji hilo chini ya Kocha Mkuu, Mussa Mgossi"Mimi nimezaliwa Kenya mkoa unaitwa Siaya. Nimelelewa na mama pekee na...
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone kipenzi cha mashabiki wa timu hiyo anatajwa kuzivutia timu nyingi ndani ya Afrika ambazo zinahitaji kupata saini yake.Luis amekuwa imara ndani ya Simba baada ya kuibuka kwenye dirisha dogo Januari 2019/20 akitokea Klabu ya...
  KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp, amewataka wachezaji wake wapambane dhidi ya dunia huku akisisitiza kwamba timu yake kuwa chini ya kiwango katika mechi za hivi karibuni, hakumuumizi kichwa. Mabingwa hawa wa Premier, hivi karibuni waliambulia pointi mbili tu kati...
 MIRAJI Athuman, 'Sheva' amezidi kutaka ndani ya kikosi cha Simba kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi baada ya leo kupachika bao lake la tatu wakati Simba ikishinda mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar.Ushindi wa Simba unaipa nafasi ya kutinga...
 KIKOSI cha Namungo FC leo Januari 9 kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Jamhuri kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliochezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar.Dakika 90 ambazozilikuwa na ushindani mkubwa Jamhuri ilikwama kuweka mzani sawa wala kupata...
 NYOTA wa Klabu ya Arsenal, Eddie Nketiah anatajwa kuingia Kwenye rada za Klabu ya West Ham United ambayo inahitaji kumpata mbadala wa Sebastien Haller kwa mujibu wa ripoti.Haller ameweka rekodi ya ada ya usajili ndani ya West Ham United...
 KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Januari 9 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo wa Kombe la Mapinduzi, Uwanja wa Amaan, saa 8:15.
CLATOUS Chama, nyota wa kikosi cha Simba mwenye tuzo ya mchezaji bora kwa msimu wa 2019/20 ndani ya Ligi Kuu Bara inatajwa kuwa itakua ngumu kwake kubaki ndani ya kikosi hicho mkataba wake utakapomeguka.Nyota huyo alikuwa chaguo la kwanza...