KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Januari 6 dhidi ya FC Platinum
SIMBA wanatarajiwa kuwa uwanjani jioni ya leo Jumatano kucheza dhidi ya FC Platinum ya Zimbabwe katika mchezo wa pili wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Huo ni mchezo wa lazima kwa Simba kushinda tena kwa tofauti ya...
KIKOSI cha Azam FC, leo Januari 6 kimewasili salama visiwani Zanzibar ambapo kimekwenda kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi.Tayari michichuano hiyo imeshaanza kurindima na jana Januari 5, mabingwa watetezi Mtibwa Sugar walifungua pazia kwa kumenyana na Chipukizi, Uwanja wa...
TADDEO Lwanga, ingizo jipya ndani ya kikosi cha Simba kuna hatihati ya kuukosa mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum kutokana na kusumbuliwa na majeraha.Nyota huyo raia wa Uganda ambaye ni kiungo mkabaji alipata...
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeweka wazi kwamba utafanya vizuri kwenye Kombe la Mapinduzi kwa msimu huu wa 2021 kwa kuwa umejipanga kufanya hivyo.Mtibwa Sugar ni mabingwa watetezi walianza vizuri jana, anuari 5 kwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi...
MZAMIRU Yassin kiungo mkabaji wa Yanga anatajwa kupewa mikoba ya Jonas Mkude leo Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya FC Platinum. Mkude amesimamishwa na Simba kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu huku ingizo jipya...
LEO Januari 6, Simba ina kibarua kigumu cha kusaka ushindi mbele ya Klabu ya FC Platinum kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa ambao ni wa marudio.Rekodi zinaonyesha kwamba Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck ndani ya dakika 180...
KOCHA Mkuu wa Tottenham Hotspurs, Jose Mourinho amesema kuwa siri kubwa ya kushinda kwenye mchezo wao dhidi ya Brentford ni kuwaheshimu wapinzani wake.Mourinho amesema:"Nimekuja England 2004 na kumbuka kwamba wakati huo ilikuwa ni lazima kwangu kujifunza katika jambo ambalo...
LICHA ya Kuwepo tetesi za kumalizana na Yanga, kiungo mshambuliaji wa Simba, Mzambia Clatous Chama ameingia hofu ya maisha yake endapo akitua Jangwani.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Charles Boniface Mkwasa ‘Master’, ameweka rekodi ya kuwa kocha pekee mzawa aliyefanikiwa kukiongoza kikosi kuwa ndani ya nafasi tano za juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara.Pia Mkwasa ni kocha mzawa pekee mzawa aliyefanikiwa...