Na George MgangaBeki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe, ametemwa rasmi katika kikosi cha timu ya taifa kutokana na kusumbuliwa na majeruhi.Kapombe aliumia siku kadhaa zilizopita kwa kujitonesha kidonda chake jambo ambalo lilisababisha Kocha Emmanuel Amunike amuondoe kwenye programu...
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta amesema kuwa wanatambua kazi kubwa waliyopewa na Taifa hivyo watakwenda Misri wakiwa na lengo moja kupata matokeo chanya kwenye michuano hiyo ya Afcon itakayofanyika kuanzaia...
Kutokana na usajili wa kutisha ambao unafanywa na Yanga hadi sasa kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao, mshambuliaji Mkenya Duke Abuya ameweka wazi kwamba naye karibuni anaweza kuwa miongoni mwao.Mkenya huyo amekoshwa na aina ya usajili ambao unafanywa...
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO ALHAMIS
Yanga imeshusha rasmi straika Mnamibia Sadney Urikhob anayekipiga klabu ya Tura Magic na timu ya Taifa ya Benin.Huyo anakuwa mchezaji wa saba kusaini Yanga kama mazungumzo yatakwenda vizuri wengine ni Patrick Sibomana, Lamine Moro, Issa Bigirimana, Maybin Kalengo, Farouk...
Jarida linalotoa orodha ya watu ambao wanakusanya kiasi kikubwa cha pesa Afrika na duniani kwa ujumla 'FORBES' limekuja tena na orodha ya matajiri.Katika orodha ya watu tajiri Afrika, Mtanzania ambaye amewekeza hisa zake katika klabu ya Simba na Mfanyabiashara...
Klabu ya Simba iko hatua za mwisho za kumsainisha mkataba mshambuliaji wa klabu ya Police FC ya Uganda, Juma Balinya mwenye umri wa miaka 27.Balinya alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Uganda kwa sasa yupo kwenye kambi ya timu...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha, amesema ana wasiwasi na klabu hiyo kama itafabya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika.Tiboroha ametoa kauli hiyo baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuongeza idadi ya timu shiriki katika michuano...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amefunguka kwa kutoa rai kwa viongozi wa klabu hiyo juu ya usajili wanaoufanya hivi sasa.Mkwasa ambaye hivi sasa bado anaugulia kutokana na tatizo la moyo lililomfanya aachie ngazi Yanga, ameamua...
WAKILI wa Michael Wambura, Fatius Kamugisha ameiomba mahakama kuharakisha uchunguzi wa kesi ya mteja kwa kuwa amekuwa ndani kwa muda na kukosa haki zake za msingi.Katika kesi ya msingi, kigogo huyo anakabiliwa na mashtaka 17, likiwamo la kughushi, shtaka...