Ligi kuu zinatimua vumbi wikendi hii, na kama hukuweza kupiga pesa muda ndio huu mechi kibao na ODDS KUBWA zipo Meridianbet na machaguo ziaidi ya 1000 yapo unachotakiwa kufanya ni kuingia na kucheza sasa kwa dau lako lolote lile...
Mchambuzi maarufu wa soka nchini kupitia channel ya runinga ya TV3, Alex Ngereza amesema kuwa licha ya kuonyesha kiwango kizuri katika mchezo wa juzi dhidi ya KMC, kiungo mpya wa Yanga Sc, Pacôme Zouzoua si mchezaji wa kutegemea. Zouzoua ambaye...
Kocha Mkuu wa Simba SC, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ kwa sasa anafikiria kuanza kumpa dakika nyingi za kucheza kiungo wake mpya, Luis Miquissone raia wa Msumbiji. Kiungo huyo ni kati ya wachezaji waliosajiliwa na Simba SC msimu huu ambapo Luis...
KOCHA mkuu wa Simba, Mbrazil, Robert Oliveira 'Robertinho' amefichua mpaka sasa hana presha yoyote juu ya safu yake ya kiungo kutokana na ubora mkubwa unaonyeshwa na viungo wa kati Mzamiru Yassin na Frabrice Ngoma hali inayopelekea kutapa ugumu wa...
MWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga inashuka dimbani kesho kusaka ushindi wa pili kwenye mchezo wa marudiano ya Michuano hiyo dhidi ya AS Al Sabieh (Asas FC) kutoka Djibouti. Huo unakuwa mchezo wa pili baada...
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, malengo yao msimu huu ni kushinda mechi zote watakazocheza kwenye Ligi Kuu na mashindano mengine, huku wakiweka rekodi ya kuwa timu isiyofungika. Baada ya kupoteza taji la Ngao ya Jamii, Young Africans ambao...
Dau lako uliloweka Meridianbet kasino unaweza kulipwa mpaka mara 1000 endapo utacheza sloti ya Foxpot ya kasino ya mtandaoni. Maelezo ya Msingi Sloti ya Foxpot Nyumba ya mabingwa Meridianbet, inakuletea kasino ya mtandaoni yenye gurudumu 12 ya ushindi, ni wewe...
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Simba , winga wao Jimmyson Mwinuke amegoma kutolewa kwa Mkopo kwenda klabu nyingine huku akinishikiza avunjiwe mkataba wake. Awali taarifa zinadai kuwa Simba ipo kwenye mipango ya kumtoa kwa Mkopo winga huyo kabla ya...
Akiwa tayari ashapachika wavuni mabao 2 katika michezo miwili ya Ligi aliyocheza Mshambuliaji wa Simba SC, Jean Baleke. Tayari wanasimba wameshamuwekea matumaini makubwa wakijinasibu kuwa moto alioanza nao hauwezi kuzikmika kirahisi. Miongozi mwao ni Ofisa Habari wa Klabu ya Simba SC,...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo