Kocha Miguel Gamondi alisema licha ya ubutu wa safu ya ushambuliaji ila hana wasiwasi na hilo kutokana na aina ya soka analofundisha kwani kila mchezaji anatakiwa kufunga bila kujali nafasi anayoicheza.
“Soka ninalofundisha ni la kushambulia na kukaba hivyo kila...
Kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amesema anataka kuona wachezaji wake wakicheza mpira mzuri na tayari ameanza anaona muelekeo wa kikosi chake kucheza soka ambalo analitaka kuliona msimu huu.
Simba juzi ilifanikiwa kukusanya alama tatu zingine kwa kuibuka na...
Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wamekiri kuwaandikia bodi ya Ligi barua ya kuomba wacheze raundi ya tatu mechi dhidi ya Coastal Union.
Akizungumzia suala hilo, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema Bodi ya Ligi waliuweka...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Young Africans kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa Thank You’ kama ilivyotokea kwa wengine, Taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa hawajamalizana.
Young Africans ilimsaini Doumbia katika...
BEKI wa Yanga, Dickson Job amesema nidhamu kwa wapinzania wao AS Al Sabieh (Asas FC) , kimepelekea kupata ushindi wa mabao 2-0 katkka mchezo huo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Job alisema Asas FC haikuwa timu kibonde kama...
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mosses Phiri ametangaza hali ya hatari kwa mabeki wa timu pinzani kwa msimu huu kwa kufunga mabao zaidi akiendelea kupata nafasi ndani ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu wa 2023/24 wa mashundano ikiwemo ya Ligi...
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kila siku inakuletea sloti na michezo mingi ya kasino inayokupa nafasi ya kushinda kirahisi huku unaburudika. Sloti kama Circus Fever Deluxe kutoka watengenezaji wa Expanse Studio inatoa hela kwa dau dogo na ushindi unaupata...
KOCHA mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amesema anataka kuona wachezaji wake wakicheza mpira mzuri na tayari ameanza anaona muelekeo wa kikosi chake kucheza soka ambalo analitaka kuliona msimu huu.
Simba juzi ilifanikiwa kukusanya alama tatu zingine kwa kuibuka na...