Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Yanga kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa ‘Thank You’ kama ilivyotokea kwa wengine, Mwanaspoti limepata taarifa za kuaminika kuwa hawajamalizana. Yanga ilimsaini Doumbia katika dirisha...
KUWA KWENYE NAFASI NZURI YA KUSHINDA MKWANJA MREFU, BONASI KIBAO KUTOKA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET NI SLOTI YA FOXPOT Fahamu Kuhusu Sloti ya Foxpot Unapoitazama sloti hii ya Foxpot, utashangazwa wapi hizi shilingi zinatoka. Jibu ni rahisi sana, sloti...
Inaelezwa kuwa Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison huenda akaishtaki Young Africans kwenye Shirikisho la Soka Duniani ‘FIFA’. Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu kabisa na Kiungo huyo aliyeitumikia Young Africans na Simba SC kwa nyakati tofauti zimeeleza kuwa...
UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua kuanza katika kikosi cha timu hiyo, kitakachovaana dhidi ya ASAS FC ya nchini Djibouti. Yanga itavaana dhidi ya ASAS katika mchezo wa hatua ya Awali ya Ligi ya...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limezipongeza klabu za Tanzania zinazocheza mashindano ya kimataifa kwa kukidhi vigezo vya Leseni za Klabu (Club Licensing), hivyo kupata leseni za kucheza mashindano hayo. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezipatia leseni...
Tanzanian bettors who want to know how to use the Gal Sport bonus code will find this guide useful. It contains relevant information on using the bonus offer to wagers. New customers can grab the sports bonus during registration...
MASTAA watatu wa Simba wameanza kwa majanga msimu wa 2023/24 kutokana na kupata maumivu wakiwa kwenye majukumu yao. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Simba ilishuhudia bingwa wa ligi akiwa ni Yanga chini ya kocha Nasreddine Nabi ambaye hatakuwa ndani ya...
Uongozi wa Yanga umempa barua ya kumuacha huru aliekuwa mlinzi wake wa kulia Raia wa Jamhuri ya Congo Djuma Shaban. Beki huyo ambaye alikuwa tegemezi Jangwani, sasa yupo huru kujiunga na Timu yoyote hata Simba wakimtaka. Djuma bado ana Mkataba na...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo