Bilas haka umesikia stori nyingi kuhusu visima vya mafuta vikubwa ambavyo vilifanya watu au nchi fulani kuwa matajiri sana? Unaijua fujo ya waarabu wa Saudia kwa wachezaji wa ulaya kama Neymar na Ronaldo inatoka wapi? Nguvu ya Qatar kuandaa...
Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, anafikiria kumuanzisha mshambuliaji wake, Mghana, Hafiz Konkoni katika kikosi cha kwanza.
Uamuzi huo umekuja mara baada ya kulikosa kombe la kwanza la Ngao ya Jamii wakitoka kufungwa dhidi ya Simba katika mchezo wa...
Sloti ya Mighty Sparta kutoka kwa mtoa huduma wa michezo ya kasino ya mtandaoni (EGT) inakuletea siri za Wasparta. Nadhani michanganyiko inayolipwa vizuri na ramani za alama za wilds za Sparta, cheza mizunguko ya bonasi ya kusisimua na ushinde...
Kiungo Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Mahlatsi Makudubela ‘Skudu’, jana Jumanne (Agosti 15) alianza mazoezi na wenzie baada ya kupona majeraha aliyoyapata katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC.
Skudu...
Timu ya Mtibwa Sugar kutoka Morogoro, imetamba kuibuka na ushindi katika mchezo wao wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 dhidi ya Simba SC ya Dar es salaam.
Mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, utapigwa Alhamis (Agosti...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Iman Kajula, ameibuka na kubainisha kwamba, wamekuja na mpango mkakati maalum msimu huu wa 2023/24 utakaowawezesha kubeba makombe yote waliyoyakosa katika misimu miwili mfululizo ambayo yalibebwa na Young Africans.
Kauli hiyo imekuja mara baada...
MABOSI wa Yanga wameumizwa na kitu kimoja tu juzi, kupoteza taji la Ngao ya Jamii ambalo walilishikilia kwa misimu miwili, lakini kuna kauli ya mamlaka wakaitoa juu ya kikosi chao.
Kauli hiyo ilitolewa na Makamu wa Rais wa timu hiyo,...
BAADA ya ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Agosti 15 kushuhudia wageni wa ligi hiyo JKT Tanzania wakipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo, ligi hiyo inaendelea leo kwa michezo miwili.
Kagera Sugar itakuwa ugenini uwanja wa Lake Tanganyika...
KOCHA wa Simba Roberto Oliveira ‘Robertinho’ kabla kidonda hakijapoa ametuma salamu ya vitisho kwa watani wao Yanga akiwaambia Ngao ya jamii imetangulia tu watayatema yote.
Akizungumza na Mwanaspoti ikiwa ni siku moja tu tangu wachukue ngao ya jamii juzi kwa...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo