Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Salum Umande Chama, amevunja ukimya kutokana na utata uliojitokeza baada ya mchezo wa Ngao ya Jami, kati ya Young Africans dhidi ya Simba SC. Utata ulioibuka ni namna Mlinda Lango wa Simba SC, Ally...
Klabu ya Yanga SC imekiri kwamba ina historia mbaya kwenye michuano ya Kimataifa kwani ina zaidi ya miaka 20 haijawahi kufika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa. Kauli hiyo ameitoa leo Agosti 15, 2023 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
Uongozi wa Klabu ya Mtibwa Sugar, umebainisha kuwa, timu yao kwa sasa inaendelea na maandalizi ya msimu mpya ikiwa tayari kwa mechi zote zinazowahusu. Timu hiyo inatumia Uwanja wa Manungu uliopo Morogoro kwa mechi za nyumbani, itaanza msimu wa 2023/24...
Inaelezwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Simba SC, Juma Mgunda, amepewa jukumu jipya la kuiongoza Simba Queens, akichukua mikoba iliyoachwa na Mganda, Charles Lukula, imefaharmika. Mgunda alikuwa Kocha Msaidizi wa Wekundu wa Msimbazi, lakini mabosi wa klabu hiyo wameamua kumpa...
Unapoizungumzia nchi ya Mexico kwa haraka haraka kichwani mwako inakuja taswira ya aina gani kuhusu nchi hii, bila shaka watu wengi wanafikiria historia ya Pablo Escobar mwanaume aliyetikisa sana ulimwengu kwa shughuli yake ya biashara ya madawa ya kulevya....
SIMBA SC imetangaza kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Ayubu Saleh Chamshama aliyefariki Agosti 11, 2023 akiwa hospitali nchini India. Taarifa ya klabu hiyo imeeleza kwa mujibu wa mtoto wa marehemu, Soud Chamshama msiba utakuwa nyumbani kwake Chang’ombe Maduka...
KOCHA wa Mashujaa, Mohamed Abdallah ‘Baresi’ amesema kwa namna mashabiki wa Kigoma walivyo na hamu ya kuziona timu kama Simba, Yanga, Azam FC na nyingine anaona ana kazi ya kukiandaa kikosi kitakachowapa furaha. Alisema kutokana na kukosekana timu ya Ligi...
KAMA mashabiki wa Simba wakienda mazoezini wanaweza kutoa tuzo ya usajili bora kuwa beki kitasa Che Fondoh Malone, kwani jamaa kazi anaipiga sawasawa. Unachokiona uwanjani basi hata washambuliaji wa Simba wanateseka sana mazoezini kila akimkaba mshambuliaji yoyote kocha wake Roberto...
Simba imefanya usajili mkubwa kwa ajili ya msimu huu wa mashindano. Imeshusha vifaa vya maana kwelikweli. Imewashusha Che Fondoh Marlone, Leandre Onana, Luis Miquissone, Aubin Kramo na wengineo. Kwa kifupi Simba imefanya kazi yake kwenye usajili vyema sana. Ni wazi kuwa...
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na Mchambuzi wa michezo kupitia kituo cha Clouds Media Amri Kiemba amewataka Mashabiki na wapenda Soka nchini kujitokeza na kumpongeza mlinda mlango wa Simba SC Ally Salim baada...