Baadhi ya wachambuzi wa soka na wadau wa kabumbu nchini wanaipa Young Africans Sports zaidi ya asilimia 50 kushinda taji la Ngao ya Jamii mbele ya mtani wake Simba SC huku wakitoa sababu mbalimbali.
Miongoni mwa sababu ikiwa ni pamoja...
Mabosi wa Simba, wameweka wazi mkakati wao ni kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano ya Afrika Super League, bila ya kuangalia watapangwa na mpinzani wa aina gani wakiwemo Al Ahly ya Misri na Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini.
Simba wametoa kauli...
Mshambuliaji wa zamani wa AS Vita Club ya Congo na Yanga SC, Fiston Kalala Mayele ambae kwa sasa nakipiga kwenye Klabu ya Pyramids FC ya Misri amekataa kuwa yeye si shabiki wa Yanga bali ni Shabiki wa As Vita.
Mayele...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Kocha Mkuu wa Simba SC Robertinho amesema hana wasiwasi na Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Msumbuji Jose Luis Miquissone na tayari wameshamuandalia Programu maalumu.
Miquissone amesajiliwa Simba SC kwa mara ya pili akitokea Al Ahly iliyokubali kuvunja mkataba wa mchezaji huyo...
Uongozi wa Klabu ya Simba SC, umesema kwa sasa unaendelea kujiweka sawa ili kuiwezesha timu yao inafanya vizuri katika Michuano ya CAF Super League, itakayoanza mwezi Oktoba 2023.
Simba SC itafungua Michuano hiyo dhidi ya timu itakayopangiwa katika Uwanja wa...
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burkina Faso Stephen Aziz Ki, ametoboa siri kwa kusema Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Angel Gamondi alimpa maelekezo maalum kabla hajaingia uwanjani kuikabili Azam FC.
Young Africans juzi Jumatano (Agosti 09) iliibuka na ushindi wa...
Meneja wa Habari na Mawasilino Simba SC Ahmed Ally amesema wanaami mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Young Africans hautakuwa mgumu, kama ilivyokuwa kwa Singida Fountain Gate ambayo wameitoa kwa changamoto ya Mikwaju ya Peneti.
Simba SC...
Klabu ya Simba SC imefikia makubaliano ya kuinasa saini ya Mlinda Lango, Ayoub Lakred aliyekuwa akiichezea timu ya FAR Rabat ya nchini Morocco inayonolewa na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Young Africans, Nasreddine Nabi.
Chanzo Makini kutoka ndani ya Simba SC...