Home Uncategorized ZAHERA: NITAWAFUKUZA WACHEZAJI WOTE – VIDEO

ZAHERA: NITAWAFUKUZA WACHEZAJI WOTE – VIDEO


TIMU ya Azam FC jana Jumanne, Mei 28, 2019 wamelipa kisasi baada ya kuifunga Yanga Sc kwa mabao 2-0, mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania bara uliopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

SIKILIZA ALICHOKIZUNGUMZA ZAHERA HAPA KUHUSIANA NA WACHEZAJI YANGA


SOMA NA HII  KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS