Home Uncategorized ALIYEWAHI KUWA RPC AJINYONGA HADI KUFA ZANZIBAR

ALIYEWAHI KUWA RPC AJINYONGA HADI KUFA ZANZIBAR


Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, DCP Aziz Juma Mohammed (pichani), amekutwa amejinyonga nje ya nyumba yake, Kibweni, Unguja, usiku wa kuamkia leo. Sababu za kujinyonga bado hazijafahamika na mwili wa marehemu upo Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kwa uchunguzi.

16/7/2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimpandisha cheo kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) na kuwa Naibu Kamishna wa Polisi (DCP)

SOMA NA HII  VITA YA KUSHUKA DARAJA BADO MBICHI