Home Uncategorized HUYU NDIYE RYAN MOON ANAYETAJWA KUTUA SIMBA

HUYU NDIYE RYAN MOON ANAYETAJWA KUTUA SIMBA


RYAN  Moon amezaliwa September 15, 1996 Pietermartzburg-KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini.

Kwenye maisha ya soka yeye anacheza nafasi ya ushambuliaji na anapenda kuvaa jezi namba 7, amecheza jumla ya mechi 25 kwa mwaka 2016-17 akiwa na timu mbili tofauti ambazo ni pamoja na Martzburg United ambapo alicheza jumla ya mechi mbili na zote hizo hakufunga bao.

Pia kwenye klabu yake ya Kaizer Chief amecheza jumla ya mechi 25 na amefunga jumla ya mabao matano.

Kwenye timu ya Taifa ya Afrika Kusini amecheza jumla ya mechi 8 tangu mwaka 2017 na amefunga bao 1, imeelezwa kuwa yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Simba.

SOMA NA HII  Tusimlaume FEI TOTO, Tatizo liko hapa !