Home Uncategorized ORODHA YA NCHI AMBAZO ZIMEANDAA MARA NYINGI MICHUANO YA AFCON

ORODHA YA NCHI AMBAZO ZIMEANDAA MARA NYINGI MICHUANO YA AFCON


MISRI ambao ni wenyeji wa michuano ya Afcon inayotarajiwa kuanza kufanyia Juni 21 wanashikilia rekodi ya kuandaa michuano hiyo mara nyingi Zaidi wakiwa wameandaa mara tano.

Tanzania inashiriki mara ya pili ikiwa ni baada ya kupita miaka 39 mchezo wa mwisho ilishinda mbele ya Uganda kwa jumla ya mabao 3-0 uwanja wa Taifa, orodha ya nchi nyingine ni pamoja na:-


Ghana imeandaa mashindano ya Afcon mara 4.

Ethiopia imeandaa mashindano ya Afcon mara 3.

Tunisia imeandaa michuano ya Afcon mara 3.

Sudan imeandaa michuano ya Afcon mara 2.

Nigeria imeandaa michuano ya Afcon mara 2.

Ivory Coast imeandaa michuano ya Afcon mara 2.

Afrika Kusini imeandaa michuano ya Afcon mara 2.

Guinea imeandaa michuano ya Afcon 2.

Gabon imeandaa michuano ya Afcon mara 2.

SOMA NA HII  JEMBE LA KAZI SIMBA FITI KUIVAA NAMUNGO FAINALI