Home Uncategorized MCHEZO WA KAGERA SUGAR V PAMBA WAINGIWA NA DOA, DAKIKA 16 ZAPITA

MCHEZO WA KAGERA SUGAR V PAMBA WAINGIWA NA DOA, DAKIKA 16 ZAPITA


MCHEZO wa Playoff kati ya Kagera Sugar na Pamba uwanja wa Kaitaba umekumbwa na sintofahamu baada ya kupita dakika 17 bila kuanza.

Mechi hiyo ambayo ni marudio ilipaswa ianze muda wa saa 10:00 kwani muda ulipofika timu zote zilitia timu uwanjani ila mpira bado haukuanza.

Licha ya waamuzi kukagua wachezaji bado kuna taratibu za kiufundi ambazo zilikuwa zinakamilishwa.

Baada ya taratibu kukamilika ndipo mchezo ulianza ikiwa zimepita dakika 22.

Mchezo wa leo ndio utatoa maamuzi ya timu itakayopanda ndani ya Ligi Kuu Bara msimu ujao ama kubaki kwa Kagera Sugar leo.

SOMA NA HII  SPOTIPESA SIMBA WIKI IMEPAMBA MOTO DAR MPAKA MWANZA, LEO NI MWENDELEZO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here