Home Uncategorized MRITHI WA NDAYIRAGIJE NDANI YA KMC HUYU HAPA

MRITHI WA NDAYIRAGIJE NDANI YA KMC HUYU HAPA

IMEELEZWA kuwa kocha mpya wa KMC atakayerithi mikoba ya kocha Etiene Ndayiragije ambaye ametimkia Azam FC ni Jackson Mayanja.

KMC kwa sasa wanatafuta Kocha Mkuu mwenye uzoefu na michuano ya kimataifa ambaye atakiongoza kikosi hicho ambacho kitashiriki michuano ya kombe la Shirikisho msimu huu.

Habari za ndani zimeeleza kuwa kwa sasa kila kitu kimekamilika na muda wowote atatangazwa kuwa kocha wa kikosi hicho.

SOMA NA HII  SIMBA WAFUNGUKA HAYA BAADA YA KIPIGO 5G