Home Uncategorized NYOTA WA SIMBA AMCHIMBA MKWARA MO SALAH

NYOTA WA SIMBA AMCHIMBA MKWARA MO SALAH


NYOTA wa timu ya Taifa ya Uganda na timu ya Simba, Juuko Murshid amesema kuwa yupo fiti kumenyana na Misri bila kuhofia uwepo wa nyota Mohamed Salah anayekipiga Liverpool.

Uganda itamenyana leo na Misri uwanja wa Cairo International ikiwa ni mechi ya mwisho kwenye kundi A ambalo Misri anaongoza akiwa na pointi sita huku Uganda wakiwa na pointi nne nafasi ya pili.

“Tunaamini mechi itakuwa ngumu ila kwenye mpira lolote linaweza kutokea kwa sasa hatuna hofu tupo tayari kupambana,” amesema.
SOMA NA HII  YANGA WAMALIZANA NA STRAIKA ,MBELGIJI SIMBA AMKOMALIA CHAMA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO