Home Uncategorized SERIKALI YATOA MASHARTI JUU YA ENEO WALILOPEWA YANGA KIGAMBONI

SERIKALI YATOA MASHARTI JUU YA ENEO WALILOPEWA YANGA KIGAMBONI


Baada ya kuwapa Yanga eneo la kujenga Uwanja, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa maagizo ya kuhakikisha kuwa uwanja huo unajengwa.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya kutoa uwanja huo na kutoa maagizo hayo ili kazi ianze mara moja.

Maagizo ya Makonda yamekuja kufuatia siasa za soka la bongo ambazo zimekuwa zikikwamisha maendeleo haswa kwa klabu za Simba na Yanga.

Amesema: “hataki kusikia tutafanya mwezi ujao, mara mwakani, nataka kuona kazi ikianza kufanyika mara moja, amesema Makonda.

Yanga wamekabidhiwa eneo la kujenga uwanja huo lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.

SOMA NA HII  UWANJA WA SIMBA KUWEKWA JIWE LA MSINGI LEO NA WAZIRI MWAKYEMBE