Home Uncategorized Simba inakimbiza mwizi kimya kimya

Simba inakimbiza mwizi kimya kimya

Leo klabu ya Simba Sc imetoa picha za John Bocco akisaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo. Hakuna ubishi mkataba huu ulisainiwa kabla ya Bocco kujiunga na kusafiri na timu kuelekea Misri kwaajili ya Afcon.

Kuna uwezakano mkubwa pia wachezaji wengi wameshasajiliwa kimya kimya katika klabu hiyo ikiwa pamoja na walioitwa katika kikosi cha Stars. Usajili huu kwa wachezaji wanaoshiriki michuano ya AFCON ni muhimu kibiashara pia, kumuacha mchezaji kwenda katika michuano kama hii bila saini yenu ni kosa kubwa sana.

Swali kubwa, je Ajib pia ameshasaini? NANi kaachwa??

The post Simba inakimbiza mwizi kimya kimya appeared first on Kandanda.

SOMA NA HII  YANGA YASHUSHA MAPROO SABA KWA MPIGO,CHAMA AFUNGUKIA MKATABA WAKE,NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA