Home Uncategorized SIMBA YAMSAINISHA MKATA UMEME KUTOKA AL HILAL YA SUDAN

SIMBA YAMSAINISHA MKATA UMEME KUTOKA AL HILAL YA SUDAN
Simba imeamua kujiimarisha zaidi katika sehemu ya kiungo cha ukabaji kwa kuvuka mipaka hadi nchini Sudan ambako imemsajili kiungo Bora mara mbili mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan.

Huyo ni mchezaji wa timu ya taifa ya Sudan tangu akiwa na miaka 17 akitokea kwa mabingwa mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan klabu ya Al Hilal.

 Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman amejiunga na Mabingwa wa nchi kwa mkataba wa mwaka mmoja, leo. 


King guys anajulikana kea pasi za uhakika lakini ukabaji wake wa nguvu na ubora wa upigaji mipira ya vichwa.


SOMA NA HII  YANGA KUMCHOMOA WINGA HUYU FUNDI KUTOKA TANZANIA PRISONS