Timu ya Taifa ya Uganda imeanza michuano ya AFCON kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Congo.
Uganda imejipatia mabao yake kupitia kwa Patrick Kaddu dakika ya 14 na Emmanuel Okwi mnamo dakika ya 48.
Ushindi wa Uganda unaifanya ikae kileleni mwa kundi A ikiwa na timu zingine za Misri na Zimbabwe.
Msimamo unaonesha Uganda ipo kileleni, Misri iliyoachwa idadi ya mabao ikishika nafasi ya pili wakati Zimbambwe iliyofungwa bao 1-0 na Misri jana ikiwa ya tatu na namba nne ikishika Congo.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.