Home Uncategorized YANGA NOMA, YAMALIZANA NA MAJEMBE TISA FASTA, LISTI YAO KAMILI HII HAPA

YANGA NOMA, YAMALIZANA NA MAJEMBE TISA FASTA, LISTI YAO KAMILI HII HAPA


UNAAMBIWA Yanga si ya mchezomchezo kwani hawataki kabisa utani, mpaka sasa tayari wamemalizana na majembe makali tisa ambayo ni chaguo la Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.

 Majembe mapya 8 ambayo  tayari yana uhakika wa kuvaa jezi za njano msimu ujao yataungana na kiungo fundi ambaye ameongeza mkataba na kufanya idaida yao igote namba 9 ni pamoja na:- 

Patrick Sibomana ametoka Rwanda

Lamine Moro, ametoka Ghana

 Issa Bigirimana ametoka Rwanda

Maybin Kalego ametoka Zambia

Mustapha Suleiman ametoka Burundi

Juma Balinyi ametoka Uganda

 Sadney Urikhob ametokaa Namibia

Abdulaziz Makame ametoka visiwani Zanzibar

Papy Tshishimbi ameongeza mkataba wa miaka miwili yeye anatokea Congo.

SOMA NA HII  YUSUPH MHILU:NINAMSHUKURU MUNGU NINAENDELEA VIZURI