Home Uncategorized LIVE: TANZANIA 0-0 BURUNDI

LIVE: TANZANIA 0-0 BURUNDI


MCHEZO wa pili kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi ya Burundi umeanza uwanja wa Taifa ukiwa ni mchezo wa marudio baada ya ule wa kwanza uliopigwa nchini Burundi timu zote kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1.

Mchezo wa leo ni maalumu kwa ajili ya kufuzu kwa Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar mwaka 2002.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona ni nani ambaye atakwenda hatua ya makundi ya kufuzu kombe la dunia.

SOMA NA HII  KAPOMBE SHOMARI BADO WAMO