Home Uncategorized YANNICK CARRASCO KUIBUKIA KWA WASHIKA BUNDUKI

YANNICK CARRASCO KUIBUKIA KWA WASHIKA BUNDUKI


YANNICK Carrasco kwa sasa kuna uwezekano mkubwa kuibukia kwenye kikosi cha Arsenal kilicho chini ya Unai Emery kumwaga wino.
Winga huyo mwenye miaka 25 amefunga jumla ya mabao 11 kwenye mechi 31 alizocheza baada ya kujiunga na klabu ya Blue Hawks mwaka 2018.
Kwa sasa imeelezwa kuwa anawindwa na washika bunduki hao ili aongeze nguvu kwenye kikosi hicho msimu ujao.
Carrasco amesema “kwa sasa kuna ofa ambazo zipo mkononi mwangu ni suala la makubaliano tu na wakala wangu baada ya utaratibu kukamilika vizuri.
SOMA NA HII  SIMBA KUFUMUA KIKOSI CHA KWANZA LEO MBELE YA STAND UNITED