Home Uncategorized AIYEE AANZA NA MGUU WA KULIA KMC

AIYEE AANZA NA MGUU WA KULIA KMC

SALIM Aiyee mshambuliaji mpya wa kikosi cha KMC ameanza kwa kucheka na nyavu baada ya kufunga bao kwenye mchezo wake wa kwanza wa michuano ya kombe la Kagame.

Leo KMC wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Atlabara ya Sudan Kusini.

Aiyee alianza kupachika bao hilo dakika ya 46 kabla ya wapinzani wao Atlabara kusawazisha bao dakika ya 67.

SOMA NA HII  HUU HAPA USHAURI WA SALEH JEMBE KWENDA SIMBA, YANGA YATAJWA