Home Uncategorized AZAM FC YACHEKELEA KUTINGA ROBO FAINALI

AZAM FC YACHEKELEA KUTINGA ROBO FAINALI

UONGOZI wa Azam FC umechekelelea kutinga hatua ya robo fainali baada ya timu ya KCCA kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mukura FC.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC Jaffari Maganga amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kupenya hatua hiyo kutokana na ushindani uliopo.

“Tumepata fursa ya kupenya robo fainali baada ya KCCA kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mukura FC, hivyo kwa sasa tunaendelea kujipanga kutetea taji letu,” amesema Maganga.

SOMA NA HII  MASHINE MPYA YA YANGA NI MWENDO WA KUTUPIA TU HUKO