Home Uncategorized MANCHESTER UNITED YAFUTA KABISA MPANGO WA KUMUWINDA LEMINA

MANCHESTER UNITED YAFUTA KABISA MPANGO WA KUMUWINDA LEMINA


MANCHESTER United imefutilia mbali nia yao ya kutaka kumsajili kiungo wa Southampton, Mario Lemina mwenye umri wa miaka 25.

Kiungo huyo amekuwa akihusishwa kutua ndani ya United pia anapigiwa hesabu na Arsenal.

Inaripotiwa ilikuwa ikimuwinda chinichini staa huyo mzaliwa wa Gabon ambaye hajasafiri na Southampton kwenye mechi za maandalizi za maandalizi ya msimu mpya, dau lake linatajwa kuwa pauni milioni 30.

SOMA NA HII  GWAMBINA: YANGA WALITIBUA MIPANGO YETU KIPINDI CHA KWANZA