Home Uncategorized CHAMA NAYE AANZA MAKEKE YAKE LEO SIMBA IKIMPIGA 4-1 PLATINUM STARS

CHAMA NAYE AANZA MAKEKE YAKE LEO SIMBA IKIMPIGA 4-1 PLATINUM STARS

CLATOUS Chama, kiungo wa Simba leo amefanya yake wakati Simba ikiibuka kidedea kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Platinum Stars.

Mchezo huu ambao ni maalumu kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao ni wa pili kwa Simba kucheza baada ya kuweka kambi nchini Afrika Kusini.

Chama amefunga mabao mawili dakika ya 11, 58 na mtupiaji mwingine ni Shiboub aliyefunga kwa mkwaju wa penalti dakika ya 13 huku Mzamiru Yassin akifunga bao la usiku dakika ya 87.

SOMA NA HII  NAMNA PENATI YA MORRISON ILIVYOPAA JUU YA LANGO - VIDEO