Home Uncategorized HAZARD AMTABIRIA MAKUBWA NYOTA MPYA WA CHELSEA

HAZARD AMTABIRIA MAKUBWA NYOTA MPYA WA CHELSEA


EDEN Hazard nyota mpya wa Real Madrid amemtabiria makubwa winga mpya wa Chelsea, Christain Pulisic kuwa atafanya makubwa kwenye medani za soka. 

“Ni mchezaji mzuri na mwenye juhudi ana nafasi ya kufanya makubwa ndani ya timu yake mpya,” amesema.

Pulisic amejiunga na Chelsea akitokea Borussia Dortmund kwa ada iliyogharimu kiasi cha pauni milioni 58 sawa na shilingi bilioni 165.

Hazard amejiunga na Real Madrid baada ya kutumikia timu hiyo kwa muda wa miaka saba.

SOMA NA HII  LIGI KUU BARA KWA SASA IMEMEGUKA MAKUNDI MANNE