Home Uncategorized MABINGWA WA ZANZIBAR NAO KIMATAIFA WAPO HIVI

MABINGWA WA ZANZIBAR NAO KIMATAIFA WAPO HIVI


MABINGWA wa Ligi Visiwani Zanzibar, KMKM nao wana kibarua cha kukwea pipa kimataifa.

  KMKM wataanzia nyumbani dhidi ya Deportivo do 1 Agosto ya Angola kwenye Ligi ya Mabingwa.

 Malindi FC wao  wataanzia ugenini dhidi ya Mogadishu City ya Somalia kwenye Kombe la Shirikisho.

SOMA NA HII  NYOTA WAWILI SIMBA WAWEKWA NJE YA MPANGO WA SVEN MAZIMA