Home Uncategorized KERR AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

KERR AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI


Kocha wa zamani wa Simba, Muingereza, Dylan Kerr, amefikwa na mama yake mzazi.

Kerr ameeleza kuwa mama yake alikuwa akiumwa kwa muda mrefu na ndicho kilichopelekea kifo chake.

Salehj] Jembe  blog inatoa pole kwa Kerr pamoja na familia yake kwa ujumla.

SOMA NA HII  HAWA HAPA NYOTA 15 KIMEELEWEKA NDANI YA SIMBA