Home Uncategorized YANGA KIMATAIFA SAFARI YAO IMEKAA NAMNA HII

YANGA KIMATAIFA SAFARI YAO IMEKAA NAMNA HII

SAFARI ya Yanga kimataifa baada ya kushika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita wataanza na  timu ya Township Rollers ya Botswana.

Kwa mujibu wa ratiba, mechi za kwanza za raundi ya kwanza zitapigwa kati ya Agosti 9, 10 na 11 huku mechi za marudiano zikipigwa kati ya Agosti 23, 24 na 25.

Mechi za raundi ya pili zitapigwa kati ya Septemba 11, 13 na 14 na marudiano itakuwa ni kati ya Septemba 27. 28 na 29.

Endapo watapenya hatua ya awali watakutana na mshindi kati ya Green Mamba dhidi ya Zesco United.



SOMA NA HII  UNITED WANAJIPIGIA TU, INTER MILAN LEO WAKIONA CHA MOTO