Home Uncategorized NYOTA WA MANCHESTER UNITED ACHEKELEA UZURI WA BONGO

NYOTA WA MANCHESTER UNITED ACHEKELEA UZURI WA BONGO


RUUD Van Nistelrooy mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na timu ya Taifa ya Uholanzi ametembelea hifadhi za mali asili ya Tanzania.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ruud amesema kuwa ni sehemu yenye maajabu na utulivu mwingi anajivunia kufanya utalii ndani ya Taifa la Tanzania.

Kwa sasa yupo kwenye ziara Bongo ana rekodi nzuri kwenye maisha ya soka kwani amewahi kutwaa tuzo ya mfungaji Bora akiwa na timu ya Manchester United mwaka 2002 na 2003.

SOMA NA HII  KUHUSU MCHEZAJI BORA WA MWEZI YANGA MCHAKATO UKO HIVI