Home Uncategorized NYOTA SIMBA KUIBUKIA POLISI TANZANIA, ATOA MASHARTI MAGUMU

NYOTA SIMBA KUIBUKIA POLISI TANZANIA, ATOA MASHARTI MAGUMU

MARCEL Kaheza mshambuliaji wa kikosi cha Smba huenda msimu ujao akaibukia kikosi cha Polisi Tanzania.

Kaheza amerejea kutoka Kenya baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo kuitumikia timu ya AFC Leopards, uongozi wa Simba umemuweka kwenye hesabu za kumtoa kwa mkopo.

Kaheza amesema: “Mimi ni mchezaji na uwezo wangu unajulikana hivyo kikosi ambacho nitakwenda ninahitaji kupata namba kikosi cha kwanza,” amesema.

SOMA NA HII  GWAMBINA FC KUSHUSHA MASHINE MPYA ZA KAZI